Na Odhiambo Danyell
Mawingu mepesi yalitawanyika angani utadhani yameanikwa ili kukaushwa na miale ya jua ambayo yalikuwa yanazidi kufifia. Ghafla ,upepo mkali ulifagilia kwenye nchi kavu na kuwacha matawi ya miti yakipukutika ovyo ovyo kabla ya kuchezeshwa angani.
Isitoshe, ilihamisha wingu moja baada ya nyingine hata anga ikabaki safi. Kilichobaki kuonekana ni kundi ndogo la kunguru

Comments